Alikiba Atoa Sababu ya Kuwa Msiri wa Mambo Yake.
Mwanamuziki Alikiba amefunguka na kuelezea kwa undani kwanini mara
nyingi amekuwa msiri sana katika mambo yake na kuwashtukiza watu kila
anapofanya jambo linakuwa kama geni kwa mashabiki wake na vyombo vya
habari.
Akiongea asubui ya leo katika Clouds 360, alikiba ansema kuwa Mungu amekuwa akiumba watu wa aina tofauti sana katika Dunia hii na inawezekana usiri wake ni aina binadamu mmoja watu alioamua kuwaumba.
Akiongea asubui ya leo katika Clouds 360, alikiba ansema kuwa Mungu amekuwa akiumba watu wa aina tofauti sana katika Dunia hii na inawezekana usiri wake ni aina binadamu mmoja watu alioamua kuwaumba.
unajua kuwa watu tunatofautiana sana, jinsi mungu alivyoumba watu inawezekana hii ni aina nyingine ya binadamu na hii yngu ni aina mojawapo ya binadamu, ila mimi niko hivyo na siwezei kufanya mambo yangu kuji-display sana kama watu wengine.Akijibu swali la babie kabae kuhusu swala la mashabiki wengi kumtuhumu kuwa analinga na kwamba mara nyingi amekuwa akusemwa katika mitandao lakini amekuwa akikaa kimya tu bila kufanya chochote na hiyo kufanya watu waseme kuwa yeye analinga Alikiba alisema,
mimi huwa siact, tunakuwa tunaishi kulingana na tabia, a hii ni tabia yangu niliyozaliwa nayo na sina haja ya ku-act lakini pia siwezi kukuletea dharau kwa sababu am proud of my self lakini sina haja ya kukudharau wewe m hiyo iko ndani yangu wala silingi.
Huwa siwezi kujibu kila kitu labda kama kwenye interview, kwa sababu mara nyingine wanaoandika wanakuwa hawafuati sheria za uandishi.

No comments: