Header Ads

Wema wa Saa Hivi Sio Msichana ni Mwanamke:-Wema Sepetu


 

Mwanadada Wema Sepetu ametaka kuwabadilisha mashabiki wake na kuwaambia kuwa kwa sasa anataka kufanya vitu kulingana na umri wake kwa sababu anaamini kuwa kwa sasa yeye amekuwa na anahitjikufanya vitu kulingana na umri wake na sio kama wema yule wa zamani amabe watu walikuwa wamemzoea.
tukimwangalia wema wa sasa hivi tunamwangalia wema ambae yuko matured,ambae amekuwa kiakili, kifikra na kimawazo  kwa sababu binadamu yoyote ili akue ni lazima apitie baadhi ya mambo na hata niliyoyapitia mimi yamenipa experience sana.
ikiwa kama mtu wa kawaida ni lazima kuna vitu unafanya lakini unasema nimekosea lakini kutokana na hilo ninajifuza kitu , kwaio tunajifunza kutokana  na makosa.hakuna kitu nimefanya ambacho ni cha ajabu sana cha kushangaza umma.
kwaio wema tunaemuongelea sasa ni mtu mzima, ni mwanamke na sio msichana tena.
Wema ameyaongea hayo ikiwa ni moja ya kuelezea mafanikio yake aliyoyapata sasa  baada kupata madili makubwa ya makampuni mbalimbali.

No comments:

Powered by Blogger.