Chakula chadhibiti utoro shuleni
Afisa
elimu wa halmashauri hiyo Zakayo Mlenduka amesema jambo hilo
limefanikiwa baada ya kuzishirikisha serikali za vijiji kuwabana wazazi
kuchangia chakula cha watoto wao wakiwa shuleni.
Pamoja na hayo Mkurugenzi wa halmashauri hiyo, amesema katika kufanikisha jambo hilo wamezitaka shule za msingi kuwa na mashamba ambayo watalima mahidi na mazao mengine kwa ajili ya chakula cha wanafunzi wao.

No comments: