Body guard wa msanii harmonize pamoja na diamond platinumz
amefunguka na kuzungumzia swala la yeye kuwa karibu na sarah jinsi
lilivyozua maneno katika mtandao wa kijamii kuwa ana uhusiano nae wa
kimapenzi. Swala hilo lili-trend sana katika mitandao ya kijamii na
hata kuzua ugomvi kati ya Sarah, Jackline wolper na harmonize tena
baada ya wolper kuzungumzia swala hilola Mwarabu Fighter kutoka na
Sarah. Hata hivyo mwarab fighter alipata baahati ya kuongea na Dizzim
Online na kusema kuwa pamoja na kwamba chanzo cha habari hizo ni Mange
Kimambi lakini bado anaona kuwa Mange Kimambi hana makosa yoyote kwa
sababu hata mange amekuwa akipewa taarifa hizo na watu wa huku kwaio
kwanke yeye mange hana kosa lolote . Mange mwenyewe hana makosa
kutokana na kwamba hata yeye Mange anapewe taarifa na mara nyingine
zinakuwaga za kweli au sio za kweli,na yeye akipewa habari anakuwa
anazipeleka kama zilivyo na watu wengine hawaachi kuamini kwa sababu
zimetolewa.
No comments: