Mwanaume wa miaka 47 alawiti watoto watatu mtwara
Mtuhumiwa a Mohamedi Kaisi Hamisi
Akizungumza na www.eatv.tv,
Kamanda wa Polisi mkoani Mtwara Lucas Mkondya amethibitisha kutokea kwa
tukio hilo, na kusema kwamba mwanaume huyo anatuhumiwa kulawiti watoto
watatu wenye miaka 13, 14 na 15, wa shule ya msingi Kawawa, walipokuwa
wanatafuta Nazi kwenye minazi iliyopo vichakani baada ya kutoka
Kamanda Mkondya amesema kwamba baada ya kuwakuta watoto hao mtuhumiwa aliwatishia maisha kabla ya kufanya kitendo hicho cha kinyama katika eneo la Nambonde.
Hata hivyo baadhi ya wananchi waliokuwepo baada ya mtuhumiwa kukamatwa (Nassoro Abdala Nyoya, Sharifa Hassani na Julieta Athanas) kwa masikitiko makubwa wameiomba serikali ichukue hatua kali kwa mtuhumiwa ili iwe fundisho kwa wengine.

No comments: