Header Ads

Situmii Pombe Hivyo Niliona Bora Kutoa Energy Drink-Alikiba

Msanii Alikiba leo ametengewa siku ake rasmi kwa ajili ya kuongelea maswala mablimbali kuhsu biashara zake na pia harusi na maswla mbalimbali ya kijamii.Alikiba amefunguka na kusema kuwa yeye ni msanii ambae amekuwa akitumia Energy drink kila mara anapotaka kupanda jukwaani na wala hatumii pombe hivyo aliamua kutafuta radha ambayo hatotaka kuitumia kwa kuchanganya na maji hivyo mo faya imetatua tatizo hilo.
Akiendelea kuongelea bidhaa yake hiyo ametoa sababu kwanini imekuwa na rangi tofautu tofauti na kusema kuwa


kopo lake lina rangi  nyeusi likimaanisha  uafrika, rangi nyekundu iikiwalikisha dhati ya kufanya kitu (passion) na rangi ya dhahabu inaonyesha thamani ya bara letu la afrika.
lakini pia nilichagua energy drink kwa sababu  kwa sababu mimi nimefanya kazi kwa miaka 14  lakini sasa hivi tupo kwenye wakati ambao watanzania wanafanya kazi sana kutokana na kasi ya Rais wetu , mimi nimeona nilete kinywaji ambacho kitawapa nguvu watu ya kufanya kazi na kuamsha akili zetu ili kuleta ufanisi.
Alikiba anasema kwamba siku ya leo itakuwa ni siku ya alikiba na atafanya tour katika vipindi vyote vya Clouds hivyo mashabiki wake wakae mkao wa kula kwa sababu inawezekana  akadondosha ngoma mpya.

No comments:

Powered by Blogger.