Ubunge CHADEMA wanunuliwa kwa milioni 1
Musukuma
ameyasema hayo alipokuwa KIKAANGONI East Africa Television, na kusema
kwamba hakuna kitu kinachomvutia CHADEMA na hawapendi kwa sababu katika
ilani na matendo yao ni vitu tofauti.
"Sisi tunaojua Wabunge wanachangishwa milioni 1 hawa wa viti maalumu. ili upewe Ubunge CHADEMA lazima usaini mkataba kwamba kila mwezi lazima ukatwe milioni moja kwa ajili ya kujenga chama. Hawa wa majimbo wanatoa laki tano, anakula Mbowe. Ningekuwa mimi mjuaji tayari ningeshampiga ngumi siku nyingi" Musukuma.
Mbali na hayo Msukuma ameongeza kwamba siku akifukuzwa CCM hawezi kwenda chama kingine kwani anaamini hakuna chama kitakachomuweza.
"Nikitolewa nitakaa nyumbani, sitahama chama, hakuna chama kinachoniweza zaidi ya CCM, ningekuwa CHADEMA kila siku wangeamua ngumi"
Mbali na hayo amesema viongozi wa CHADEMA wamekuwa wakikosoa na kupinga kila kitu ndani ya bunge na kwamba wao hakuna jambo jema ambalo wanaweza kusifia.

No comments: