"Wakiacha tutabakana" – Musukuma
“Ilitengenezwa tu chuki kuwa watu wasiojulikana wanatumwa na Makonda, sijui na nani!! Mara polisi, hii dhana si nzuri, haya matukio yametokea sehemu nyingi, Kibiti huko, sijui wapi huko, ila mnalichafua tu jeshi la polisi , Siku jeshi la Polisi likisema liache kufanya kazi, hali itakuwa mbaya, hatutatongozana tutabakana.”, amesema Musukuma.
Sambamba na hilo Musukuma amesema watu wanaofanya hivyo hawako sahihi, kwani badala yake wanapaswa kulishukuru jeshi hilo kwa jukumu la kuwalinda wao na mali zao.

No comments: