Kombe la Dunia 2018
Kombe la Dunia 2018: Washiriki wa mashindano kufanya semina ya uzoefu wa mazingira ya Urusi leo na kesho mjini Sochi
Washiriki wa mashindano ya kombe la dunia mwaka huu nchini Urusi leo wanaanza semina maalum ya kujifunza uzoefu wa mazingira ya Urusi ili kurahisisha ushiriki wao mwezi juni michuano hiyo itakapoanza.
Semina hiyo inahusisha wawakilishi kutoka mataifa 32 yanayoshiriki ambao ni makocha wakuu, madaktari wa timu, wataalamu wa ufundi, pamoja na wawakilishi vya vyombo vya habari, na mambo watakayojifunza ni kuhusu malazi, usalama, usafiri, masoko na mpangilio wa mashindano utakavyokuwa.

No comments: