Mandojo Avunjiwa Nyumba kwa Sababu Zisizojulikana.
Akiongea kwa njia ya simu, msanii huyo alimuelezea soudy kwamba siku ya tukio yeye hakuwepo alikuwa amekwenda kazini huku nyuma ameiacha familia yake kama kawaida ndipo majira ya mchana alipopigiwa simu kuwa kua watu wamekuja na kuanza kubomoa nyumba bila kutoa sababu yoyote wala kuwapa muda wa kuongea na watu hao.
Hata hivyo msanii huyo amewaomba wadau na watu mbalimbali kumsaidia ili kujua tatizo ni nini lakini pa kuweza kumsitiri yeye na familia yake kwa sababu yeye ndie aliekuwa akitegemewa na familia na ndio nyumba aliyweza kujenga kwa ajili ya familia yake kwa kipindi alaichokuwa katika game.
No comments: