Familia ya Diamond YaamishIa Mapenzi kwa Mobeto.
Wanasemaga
huu mchezo hautaki hasira, na kweli maana hii inadhihika katika familia
ya msanii mkubwa bongo Diamond Platinumz na familia yake mabo kipindi
cha kwanza walikuwa hawaonyeshi mapezni yoyote kwa mtoto wa Diamond
aliyekuwa amezaa na Hamisa Mobeto lakini siku za hivi karibuni mambo
yameanza kuiva.
Kipindi
Diamond ana mahusiano mazuri na Zari the Bossy , katika akaunti yake ya
instagram alikuwa akiweka picha za watoto wake wawili Tiffa na Nilan
ambao amezaa na Zari na ikafika muda hata mashabiki zake walikuwa
wakimuandana na kumsema kwanini hakuwahi kumpost Dully ambae ni mtoto wa
Hamisa.
Ukienda
kwa mama yake na Diamond pia , alishawahi kugombana na mshabikizake
hata kuwajibu vibaya kwa sababu tu ya kuwa haweki picha za mjukuu wake
upande wa Hamisa.
Hivi
karibuni Diamond Platnumz aliweka comments aktika picha ya mama yake
huku akimsifia mamayake na kutaja jina la dully , mtoto aliyezaaa na
hamisa.Diamond aliandika “mama yangu mama…mama nasubi mamaaa..bibi
dully bibii..
Hapohapo kwa chini Esma pPlatinumz aliandika kwa kuongezea” alafu @diamondplatinumz dully kafanana nae mdomo@mama_dangote.”
Hii
inaonyesha kuwa wawili hao hata kama hawajarudiana lakini wamekuwa na
maelewano na kuamua kulea watoto wao wakiwa pamoja na kuwa na familia
yenye furaha ingawa watu wengine wamekuwa wanahoji kwanii haya yote
yatokee kipindi hiki ambacho Zari ametangaza kuachana na Diamond.Je ni
kweli kuwa wawili hao wamerudiana.

No comments: