Mahakama yaanza kusikiliza kesi ya umri
Mahakama ya kikatiba nchini
Uganda imeanza kusikiliza rufaa ambayo inapinga utaratibu uliotumika
kuondoa kipengele cha ukomo wa umri kwa mgombea wa uraisi nchini humo.
Jopo
la Majaji watano wanasikiliza kesi hiyo katika mahakama iliyopo Mbale
eneo la kilometa 300 mashariki mwa Mji Mkuu wa Kampala.
Wabunge walipiga kura kuondolewa kwa kipengele cha umri unaozidi miaka 75 hivyo kumpa nafasi Rais aliyoko madarakani kuendelea na kugombea tena katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka 2021.
Wabunge walipiga kura kuondolewa kwa kipengele cha umri unaozidi miaka 75 hivyo kumpa nafasi Rais aliyoko madarakani kuendelea na kugombea tena katika uchaguzi unaotarajiwa kufanyika mwaka 2021.
No comments: