MAPATO TRA YAONGEZEKA KWA ASILIMIA 8.46.
Mamlaka ya Mapato Tanzania imekusanya Tsh Tril 11.78 katika kipindi cha miezi tisa ya mwaka wa fedha 2017/18 kuanzia Julai 2017 hadi Machi 2018, ikilinganishwa na Tsh. Tril 10.86 ambazo zilikusanywa katika kipindi cha mwaka wa fedha 2016/17, ambacho ni sawa na ukuaji wa 8.46%.
Huu hapa mchanganuo wake kwa kila mwezi.

No comments: