Sitarudi nyuma kisa Suguta - John Heche
Heche
amesema hayo leo Mei 4,2018 siku moja baada ya kupumzisha mdogo wake
kwenye nyumba yake ya milele na kusema kuwa kifo cha mdogo wake huyo
ambaye amekufa kinyama kinazidi kumpa nguvu na sababu ya kupigania
haki.
"Pumzika kwa amani Suguta, kifo chako cha kinyama kinanipa sababu zaidi ya kuendelea kupigania. Utawala wa sheria haki na usawa katika taifa letu. Sitarudi nyuma nitapambana mstari wa mbele wakati wote kwa heshima yako na kwa heshima ya Watanzania wote wanaopenda kuona nchi yetu inaongozwa vizuri"
Aidha Heche aliwashukuru watu mbalimbali ambao waliweza kujitokeza kumpumzisha mdogo wake huyo kwenye nyumba yake ya milele na kusema kuwa wamewapa faraja sana
"Asanteni Watanzania wote na Wanatarime kwa jinsi ambavyo mmekua faraja kwa familia yetu katika kipindi hiki kigumu endeleeni kupiga kelele kukemea uovu huu unaozalisha chuki katika Taifa letu.Pumzika kwa Amani “Simba”"

No comments: