Yanga yakabidhi rasmi ubingwa
Bao
la kwanza la wajela jela limepatikana mnamo mwa dakika 58 katika
kipindi cha pili kwa mkwaju wa penati uliopigwa na Eliuter Mpepo baada
ya mchezaji wa Yanga Thaban Kamusoko kuunawa mpira ndani ya eneo la
hatari.
Kama hiyo haitoshi ilipofikia dakika 83 za mchezo huo Tanzania Prisons walipata bao la pili kupitia Juma Abdul krosi iliyotengenezwa na Mohamed Rashis baada ya vuta ni kuvute na walinzi wa lango la Yanga.
Kutokana na ushindi huo wa Tanzania Prisons wa mabao 2-0 dhidi ya Yanga yanaipa rasmi Simba SC ubingwa wa moja kwa moja wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2017/ 2018 na kuifanya timu hiyo kunyakua kikombe hicho mara ya 19 na mara ya mwisho kushinda ilikuwa ni mwaka 2012.

No comments: